Jumatatu, Novemba 12, 2012

SIMULIZI YA MAMA MDOGO SURA YA ........14.......


ILIPOISHIA:
Usiku mama mdogo alianzisha tena mazungumzo na baba Jamal kuhusu kumpeleka Jamal shule. Alimsifia Jamal kwamba amebadilika sana na kwamba sasa ni mtoto mzuri, hana kiburi, anajituma katika kazi na ameacha kabisa mambo ya mapenzi. Hivyo alisisitiza kwamba apelekwe shule ili akasome kwa faida yake na mdogo wake. Baada ya kufikiria sana baba Jamal alikubali na kumtaka mama yake mdogo aende shule ya Sekondari ya Jitegemee ili akatafute nafasi na kisha Jamal aanze kusoma mara moja.

INAPOENDELEA:
Siku iliyofuata baba Jamal alikwenda  kazini kama kawaida yake. Jamal aliamka saa tatu siku hiyo, kwani hakupata usingizi vizuri usiku kutokana na kuwa na mawazo mengi. Alikwenda sebuleni na kumwita mama yake mdogo aliyekuwa chumbani. Mama mdogo alipofika tu alimrukia Jamal shingoni na kumbusu shavuni. “Jamal kazi nimemaliza.” Alitamka mama mdogo huku akimwangalia Jamal.

“Kweli mama mdogo? Mbona siamini, umetumia mbinu gani hadi analainika?” Alihoji Jamal kwa furaha isiyo na kifani. “Mimi nilikwambia ilimradi tuko pamoja sasa basi utasoma. Kunywa chai haraka unisindikize Jitegemee Sekondari. Jamal alifurahi sana kupata nafasi ya kwenda shule. Maisha yalibadilika sasa Jamal alianza shule huku akijihusisha kimapenzi na mama yake mdogo. Kadiri siku zilivyozidi kwenda ndiyo mapenzi yao yalizidi kupamba moto. Baba Jamal akisafiri walikuwa wakilala pamoja bila kujali wala kuogopa. Mwanzoni Jamal alikuwa mwoga sana kufanya mapenzi na mama yake mdogo lakini baadaye alizoea na kuona kitu cha kawaida.

Siku moja baba Jamal alisafiri, na alitegemewa kurudi baada ya miezi miwili. Mke wake alifurahi kwani pale nyumbani walibaki wawili tu. Waliutumia muda huo kufanya mapenzi kwa uhuru. Jamal alitunzwa kama mume kila kitu alikuwa akipata, akitoka shule alikuta mama yake mdogo amempikia chakula kizuri na amefua nguo zake zote na kuzipiga pasi.


*****************************************************************
Baada ya mwezi mmoja toka baba Jamal amesafiri Siku moja Jamal na mama mdogo wakiwa wamelala chumbani waliongea mambo mengi sana kuhusu maisha na pia kuhusu mapenzi yao. “Mpenzi unajua nina kupenda sana? Natamani hata ungekuwa wewe ndiyo mume wangu!” Alitamka mama mdogo. “Hata mimi nakupenda sana mama mdogo, mapenzi yako hayana mfano. Ninapokuwa na wewe huwa najisikia nipo ulimwengu mwingine.” Alitamka Jamal.

“Nashukuru kama na wewe umeridhika na penzi langu. Ila kuna kitu nataka nikwambie Jamal na nakuomba iwe siri kubwa, usije ukamwambia mtu.” Aliongea mama mdogo.
“Eheh hebu niambie mpenzi wangu!” Aliomba Jamal huku akimkumbatia na akimbusu mama mdogo. “Nahisi nina mimba yako.” Alisema mama mdogo. “Mimba yangu! Hebu tuishie hapohapo! Tafadhali hebu toa haraka sana kabla Baba hajarudi.” Alitamka Jamal huku akiwa amehamaki na kuogopa sana.

Mama mdogo akiwa amemlalia Jamal kwenye kifua alitabasamu na kumbusu Jamal kisha akaendelea kuongea. ”Haiwezekani Jamal hii mimba siwezi kuitoa lazima nizae na wewe hata kama unaogopa baba yako atagundua. Mimi nimeamua akirudi tu nitamwambia mimba ni yake, kwa hiyo usiwe na wasiwasi kabisa mpenzi.” Aliongea mama mdogo ili kumfariji Jamal. “Lakini mama mdogo unajua kuwa hilo ni tatizo? Ingawa naogopa sana poa we fanya ufanyalo lakini baba asijue kabisa.” Alitamka Jamal.

“Wala usiwe na hofu mpenzi mimi mtaalamu sana katika kuongea, kama niliweza kumshawishi akubali kukupeleka shule itakuwa hata hili?” Aliongea mama mdogo akisisitiza kuwa atahakikisha kwamba itakuwa siri. Waliendelea kulala usiku ule huku wakipeana mapenzi motomoto kama mume na mke. Waliendelea na mchezo wao kwa siri na hata mdogo wake Jamal aliporudi hakujua chochote kinachoendelea. Siku za kurudi baba Jamal ziliwadia mke wake alimpokea vizuri na baadaye alimpa habari za ujauzito alionao ambaye alifurahi sana na kumpa zawadi nzuri ya kumpongeza kwa kuwa na mimba.

 Maisha yaliendelea kuwa mazuri na baba Jamal hakuwahi kugundua chochote kinachoendelea kati ya mkewe na mwanawe Jamal. Hatimaye muda wa kujifungua kwa mama mdogo uliwadia, alijifungua mtoto wa kiume na kumpa jina la Rama. Wakati huo Jamal alikuwa akimaliza Kidato cha Sita na alimpenda sana mtoto wa mama yake mdogo. Alipokuwa nyumbani alitumia muda mwingi kucheza na yule mtoto kiasi kwamba hata mama yake mdogo alifurahi sana.USIKOSE SURA YA ........15...........

Maoni 6 :

Bila jina alisema ...

Wewe bibie, mshukuru mama mzaa chema kakudaatisha uzuri copy and paste. mzima lakini?Unapendezaga sana na pozi zako Adella.Kama nyoka hajatoka pangoni basi mtu ana kasoro maana unalipa kweli!!

Bila jina alisema ...

Nakunda san adela umenivutia sana

Bila jina alisema ...

Nzur Xana

Unknown alisema ...

Asante.

Bila jina alisema ...

NIMEPENDA

Bila jina alisema ...

Good story

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom