Jumatano, Januari 02, 2013

UNAWEZAJE KUTUNZA NYWELE ZAKO ZA ASILI??


Mimi nazipenda nywele zangu na mara nyingi nakuwa makini ili zisikatike au kudhoofika siyo gharama unaweza kutumia njia zifuatazo  Katika suala la utunzaji wa nywele haliangalii mwanamke au mwanaume ni vyema kuzipenda nywele zako za asili, Hakikisha unasafisha nywele zako mara kwa mara kwa kutumia maji ya uvuguvugu na sabuni maalum kwa ajili ya kuoshea nywele (Shampoo).Lengo la kutumia maji ya uvuguvugu ni kuondoa uchafu wote unaoganda kwenye ngozi kutokana na mafuta, hivyo ni vyema ukatumia maji hayo walau mara moja kwa wiki.


Kausha nywele kwa taulo au kitambaa kisafi mpaka uhakikishe hakuna maji kabisa yaliyobaki.Baada ya nywele kuwa kavu, paka mafuta ya kutosha kwenye nywele zako huku ukihakikisha ngozi nayo inapata mafuta kuepusha ukavu ambao mara nyingi husababisha mba.Uwepo wa mafuta husababisha  nywele kung’aa na kuvutia,waweza pia kuzichana hata kuzibana kwa mtindo wowote.  lakini pia angalizo kwa wanaoshonea  weaving mara kwa mara wapo hatarini katika kukatika kwa nywele ni vyema kuzifanya steaming kabla ya kusuka na usikae na weaving muda mrefu ni vyema wakati mwingine kubaki na nywele za asili.

Maoni 3 :

Bila jina alisema ...

Tumbo lililokubeba na kukuzaa lina heri!! Wewe bibie nakukubali sana kwa uzuri na mapozi kweli unaniiweka njia panda,lakini najikaza maana macho hayaji kushiba,hahhahahaaaaa.Mshukuru Mungu kakupa sura nzuri na unapendeza na kuvutia sana.Atakayekuwa mumeo atajivunia sana kupata kifaa makini kama wewe dada Adela.trust me baby, you are so cute!!Mapozi yako yananipa raha sana mimi japo sijawahi kukuona kwa macho live.

ADELA KAVISHE alisema ...

ASANTE SANA RAFIKI KWA KUNIMWAGIA UJIKO LOL PAMOJA SANA

Sebastian alisema ...

UKO JUU SANA DA ADELA TUNAKUKUBALI SANA WASHKAJI WA HAPA MTC MOSHI

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom