Alhamisi, Machi 28, 2013

KWANINI KIWANGO CHA MAPENZI KINAPUNGUA KWA YULE UNAYEMPENDA???


Inawezekana mwanzo ulikuwa ukifurahi kuwa karibu yake, lakini siku zinavyozidi kwenda unaona kawaida hata akiwa hayupo karibu na wewe, je ni kwamba mmezoeana, au unaona ni kawaida tu. ni vyema kuitafuta furaha na kama kuna tatizo msilikalie kimya zungumza na mwenzio kutatua tatizo

Inapendeza kufurahia penzi unalopata wakati wote, na si kwa msimu kwani kuna wakati mapenzi yanakuwa matamu kuna wakati yanapungua kwa mfano, hali ya uchumi kidogo haiko vizuri au mambo ya kazi hayakuendei vizuri basi unakuja na kisirani hadi nyumbani kunakuwa hakuna amani. Mpo pamoja ili  kusaidiana katika shida na raha hivyo ni vyema kutuliza hasira yako.

Anakujali anakupenda kwanini mapenzi yapungue kiwango kuwa mbunifu, kuanzia mavazi, nyumbani kwako mazingira na katika mambo mengine yote ili kulifanya penzi kuwa jipya wakati wote

FURAHIA PENZI LA MILELE MKISHIRIKIANA WOTE WAWILI INAPENDEZA SANA, NA INAWEZEKANA HAKUNA KINACHOSHINDIKANA.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom