Jumanne, Aprili 23, 2013

UJUMBE WANGU WA LEO "NI UJINGA KUFURAHI MWENZAKO ANAPOPATWA NA MATATIZO, KUMBUKA KUNA LEO NA KESHO YAWEZEKANA UKAPATA MATATIZO MAKUBWA ZAIDI YAKE SIKU ZIJAZO"

Katika maisha matatizo ni sehemu ya maisha ya binadamu sasa leo mwenzio anapata matatizo wewe unafurahi bila kujua kesho kwako itakuwaje na wakati mwingine mtu huyo anaweza kuwa ndugu yako au rafiki yako  si vyema kufurahia matatizo ya mtu mwingine waswahili husema "LEO KWANGU KESHO KWAKO"

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom