Mambo Adela,naomba nisaidie unipostie hii kwenye blog yako.mm ni mwanamke nina miaka 32 na nimeajiriwa. kwa bahati mbaya nilipata maambukizi ya VVU lakini  namshukuru Mungu naendelea na shughuli zangu kama kawaida.
Shida yangu nilikuwa natafuta mchumba anayeishi na vvu pia ili tuwalinde wengine na tuishi wote kwa matumaini.awe mkristo na awe na miaka zaidi ya 30 na pia awe anajishughulisha.nitafurahi kama utanipostia.mm niko dar kwa mawasiliano email annabenson50@yahoo.com.