Jumatano, Oktoba 23, 2013

MWANAUME HUYU ANATAFUTA MCHUMBA


NATAFUTA  RAFIKI WA KIKE  (MCHUMBA) ,  ALIYE SERIOUS.
Mimi ni kijana  mvulana, wa kitanzania kutoka mkoa wa mbeya.
Nipo  serious  katika swala  hili.  Natafuta  rafiki  wa kike  kwa  urafiki  utakaoishia  kwenye  uchumba  kisha  ndoa kama  tukiridhiana na  kukubaliana . Nahitaji  mtu  ambaye  pia  yupo serious  katika swala  hili  vinginevyo  kama  haupo  serious  kaa  pembeni  maana sipendi  kupotezeana  muda.
WASIFU  WANGU:

 UMRI WANGU: miaka  28
DINI YANGU: mkristo
SINA  MTOTO,  SIJAWAHI  KUOA.
MWONEKANO WANGU:  Mimi ni mweusi kiasi, mwembamba, sio mfupi  sana  wala  sio  mrefu. Mambo mengine  kuhusu mimi  nitamweleza  muhusika  baada  ya kuwasiliana.

WASIFU WA  MSICHANA  NINAYEMUHITAJI:
UMRI WAKE: asizidi  miaka  23
DINI  YAKE:  mkristo
ELIMU  YAKE: yoyote
KAZI  YAKE: mwenye  kazi  au asiye  na kazi.
MWONEKANO WAKE:  awe na  umbo  la wastani (asiwe  mnene sana wala  mfupi sana).
MUHIMU  ZAIDI:  awe  mweupe  na  awe  asili yake   mikoa kati ya  Dar,  Moro, Iringa  au mbeya.  Awe tayari   kuishi  mkoa wowote hapa  Tanzania. 

ASIWE  NA  MTOTO,  NA  AWE  HAJAWAHI  KUOLEWA AU KUISHI NA   MUME.
Kwa   mwenye  wasifu  huo  niliotaja  tu ndio  anitafute  kwa  namba  0752827646  au 0713908229  au 0656380928. 

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Nampa pole zake huyo kijana! Hayo mambo ya enzi za Mwalimu. Nonsense

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom