Alhamisi, Julai 10, 2014

"Kumuacha mtu unayempenda ni vigumu sana, lakini kuendelea kumpenda mtu ambaye siyo sahihi kwako ni vigumu zaidi"

Mapenzi yanachangamoto nyingi sana usipokuwa makini unaweza kujikuta katika wakati mgumu sana inawezekana kile unachokipenda si sahihi kwako, au siyo kile ambacho Mungu amekupangia na dalili zote unaziona lakini ukaendelea kushikilia hivyohivyo. Wataalamu wanasema ni bora kuacha kuliko kuishi katika maisha ya majuto sikuzote za maisha yako.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom