Jumanne, Machi 10, 2015

UJUMBE WA BUSARA na Balozi Christopha Liundi


Maishani kuna vitu tunavipenda na vingine tunavichukia, aidha kuna vitu tunaviogopa kuvitenda, kuvitamka na kuvifikiria. Ujasiri hupatikana pale au wakati ule unapoyakabili yale unayoyaogopa sikuzote kufanya bila uwoga.Ukiondoa woga na kudiriki kutenda, unaitwa jasiri.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom