Ijumaa, Julai 31, 2015

"Mwananchi anakuwa na matumaini na mgombea mwenye sera za kweli, na mgombea anatakiwa kuwa mkweli kwa kusema na kutenda.

Wakati wote Wananchi wanakuwa na tumaini la kuwa na kiongozi bora na ambaye atajali maslahi yao. Lakini baadhi ya viongozi wamekuwa na kauli nzuri za kusema kuwa watawasaidia katika mambo mbalimbali katika jamii, lakini baada ya kufanikiwa kupata uongozi wanajisahau na kushindwa kutimiza ahadi, kiongozi mzuri ni yule ambaye anaongea ukweli kutoka moyoni mwake. 

Kuelekea uchaguzi mkuu 2015 ni vyema kuwa makini kuchagua viongozi watakaojali maslahi ya wananchi.Pia tumshirikishe sana Mungu katika kila jambo.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom