Jumamosi, Agosti 15, 2015

"Upinzani unachochea mabadiliko"

Katika jambo lolote lazima kuwe na changamoto ili kufikia mafanikio, na katika ushindani lazima kuwe na mambo mengi ambayo yatapelekea kuongeza nguvu ya mabadiliko mfano kama kiongozi hakufanya vizuri kipindi alipopewa nafasi ya kutumikia wananchi, na kusahau majukumu yake, anapotokea mpinzani utaona ndiyo anaanza kuhangaika kutaka kuleta mabadiliko wakati alikuwa na nafasi hiyo lakini alishindwa kutekeleza.

Sikuzote panapokuwa na upinzani mabadiliko lazima yawepo na ushindani unakuwa mkubwa zaidi kila mmoja akitamani kuonyesha uwezo wake kuwa anaweza.NI MUHIMU KUWA MAKINI KATIKA KILA JAMBO.

Maoni 1 :

Unknown alisema ...

Yap kweli kabisa, bila ya upinzani kutakuwa hakuna changamoto zozote za kuchochea mabadiliko.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom