tag:blogger.com,1999:blog-9161973884895431873.post3835918194904653282..comments2024-03-14T19:07:15.944+03:00Comments on DELLA MEDIA PRODUCTION: "Anadai mtoto wakati hakutoa matunzo"DELLA KAVISHEhttp://www.blogger.com/profile/06285072222958648213noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-9161973884895431873.post-51084611568880911452013-07-04T10:56:19.857+03:002013-07-04T10:56:19.857+03:00yaani kama yalionikuta, kwanza mpeleke polisi kwam...yaani kama yalionikuta, kwanza mpeleke polisi kwamba anakufanya fujo wewe na familia yako, hatakama kidamu ni baba yake lakini alimtupa na mwingine ndio amwemwokota hata aende wapi hataweza kumchukua mtoto. so asikusumbue hata kidogo! all the best!<br />Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-9161973884895431873.post-12281803039331658232013-03-16T17:29:32.412+03:002013-03-16T17:29:32.412+03:00KIRUUU MWAMBIE MIMBA HAIKUW YAKE ULIKUW UNAMBAMBIK...KIRUUU MWAMBIE MIMBA HAIKUW YAKE ULIKUW UNAMBAMBIKIZIA AILI AACHE KUKUSUMBUA NAJUA HATOKUW NA UWEZO WA DNA LOL..KM ULIMUANDIKISHA UBINI WA HUYO JITU JINGA IMEKULA KWAKO...MIE NIN NDUGU YANGU ALIPATA SHESHE KM HII BAHATI MTOTO ALIMUANDIKISHA UBIN WA WA UKOO WAO.. ALIVYOJILETA AKAMWAMBIA HAIKUWA MIBMBA YAKE MPAKA LEO ANAJIFANYA KUOMBA MSAMAH..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-9161973884895431873.post-89427302455584383082013-03-15T14:44:09.448+03:002013-03-15T14:44:09.448+03:00Tafuta mwanasheria uongee nae, utajua nini cha kuf...Tafuta mwanasheria uongee nae, utajua nini cha kufanya. Mwanaume huyo hafai kuwa baba kwa sababu alishakimbia majukumu toka mwanzo.Pole sana dada Mungu ni mwena sana ukimtumainia yeye utapata ufumbuzi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-9161973884895431873.post-87368207939109783522013-03-15T07:56:37.397+03:002013-03-15T07:56:37.397+03:00Nakushauri nenda ofisi za ustawi wa Jamii, au ...Nakushauri nenda ofisi za ustawi wa Jamii, au TAWLA au TGNP ukawaele tatizo lako na kuomba ushauri wa kisheria watakusaidia na kumtia adabu huyo kijana anayetaka kukuharibia nyumba yako.<br />Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-9161973884895431873.post-26996414934341685662013-03-14T18:57:05.046+03:002013-03-14T18:57:05.046+03:00Alipokataa kuwa siyo mimba yake ulihitaji kuandiki...Alipokataa kuwa siyo mimba yake ulihitaji kuandikishana naye ili baadaye asije kumdai.Inaelekea alikataa kwa sababu alijua atahitajika mahitaji ya mtoto.Lakini ukweli upo palepale kwamba ni mtoto wake ila njia anayotumia kumtaka mtoto siyo sahihi.Sidhani hata kama atakushitaki ina maana yoyote maadamu hajawahi kumlea kuna taratibu nzuri tu za kufuata.Atahitaji kukulipa matumizi yote ya mtoto.Watu wa ustawi wa jamii watakusaidia nenda huko waeleze kunachojiri.Anonymousnoreply@blogger.com