Kanuni ya adhabu itawalenga wale watakaovaa sketi fupi na jeans fupi zilizokatwa wakiwa wanatembea katika mji wa Castelammare di Stabia.Uvaaji wa nguo fupi katika mazingira ambayo sio stahiki haipendezi,mfano kanisani,matembezi katika mkusanyiko wa watu mchana, kwani kuna mavazi yanayoendana na kila sehemu husika na kwa wakati gani,,sasa hizi nguo fupi wengine huzitumia vibaya,unaweza kuvaa disko,katika sherehe za marafiki na sio sehemu ambayo unajua kabisa unajidhalilisha... |
Maoni 4 :
Haki ya nane afadhali maana hivi vimini hakika vinatisha na taifa letu la kesho linaiga iga na iga. Ahsante sana kwa hili kwa kweli
@Yasinta pamoja luv
Mmmmm, hapa Adela mimi naona hivi viguo, vinakera sana vinapovaliwa sehemu isiyo husika, mambozzz haya kama utatoka nayo kwa clubs, hakuna atakae kushangaa, la kama utaingia mtaani na viguo hivi basi hapo utalaaniwa sana, coz watu wengi hawapendi. Mimi binafsi sipendi hivi viguo hata kuviona, na mtu akinivalia mchana ndio kabisaaaa hatufiki!! Thanks adela..
@Hashir tuko pamoaja thanx pia
Chapisha Maoni