Pages

Jumatano, Novemba 10, 2010

Cheza naye kuwa naye mara kwa mara kunaongeza mvuto katika mahusiano tusijisahau...

Nimeipenda sana hii picha hawa ni wazee ambao wanaonekana wakifurahia penzi lao jamani raha sana mkiwa mmekula chumvi nyingi mengi mmeyapitia katika shida na raha lakini mahaba mazito ya kidumu ndani yenu milele.


Michezo ya hapa na pale huongeza furaha na ukaribu zaidi usijisahau katika hilo,,wengi hufanya hivi mwanzoni mwa mahusiano lakini wakishazoeana wanajisahau na kila mtu anakuwa na mambo yake.


Pia kutoka out pamoja ni moja kati ya vitu vya muhimu sana katika mahusiano kwenda katika matamasha mbalimbali ili kubadilisha mazingira mkiwa pamoja kwani imekuwa ni kawaida kwa baadhi ya wanaume kutoka out mwenyewe huku akimuacha mke nyumbani kila siku jamani panga muda wa kuwa na marafiki na muda wa kutoka out na mwenza wako...We can always be happy in love...


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Unakaribishwa kutoa maoni yako.