Pia alisema kama ni mwanafunzi umepata nafasi ya kusomeshwa soma kwa bidii, na kama ni mfanyakazi fanya kazi kwa bidii, na kwa yule ambaye hana kazi asijibweteke kwani inawezekana kujiajiri mwenyewe jambo la muhimu tusichague kazi wakati unajua unaishi katika mazingira magumu utaanza maisha kwa tabu lakini baadaye utakuwa juu na kufurahia maisha yako...UJUMBE UMETULIA MAISHA NI KUJIPANGA NA KUWA NA MALENGO. |
Yah ni kweli, kupanga kwa mpangilio, utafanikiwa!
JibuFutaNakubaliana na wewe Adela. Huyu Aneth anaonekana mrembo. Kwenye hizo picha she looks simple but mkali. Ujumbe mzuri, ni wakufanyia kazi.
JibuFuta