Jasmein akionekana katika mapozi leo nilikuwa nazungumza naye alizungumza maneno ambayo niliyapenda sana........ Unajua ili Mwanamke aweze kufikia malengo yake ni lazima ajiamini kuwa anaweza pia ajitambue, kwani wanawake waliowengi huwa wanapenda kujikatisha tamaa kwamba mimi siwezi kufanya jambo fulani kitu ambacho hata kujaribu kukifanya hajawahi, jamani kwani hao walioweza wana nini na sisi tushindwe tuna nini haina haja ya kukata tamaa maisha ni kupigana kwani siku hizi hata wanaume wanaangalia mwanamke ambaye anajua kujishughulisha na si kujibweteka,,Wanawake tunaweza tukipewa nafasi cha muhimu ni kujiamini |
Pointi hii inawahusu hata Wanaume pia.
JibuFutaBila kujiamini ni tatizo na kutojitambua ndio misingi yenyewe imara tu ya KUTOJIAMINI.
I really appreciate your site. Thank you for your insights and guidance.
JibuFuta