| Upande wa kushoto pichani Jacky akisikiliza kwa umakini mawaidha ya wazazi. |
| Mimi mwenyewe Katika pozi la kufurahia jambo katika sendoff ya Jacky |
| Katika shughuli yoyote ya Wachaga lazima kuwe na ndafu yaani ilikuwa raha sana |
| Jacky akitoa shukrani kwa ndugu jamaa na marafiki pembeni ni mume wake mtarajiwa . |
| Kila la heri dada yangu Mungu akubariki katika safari ya maisha ya ndoa. |
nami nakutakia kila la kheri dada Jacky:-)
JibuFutaKila lakheri JackY!
JibuFutaHalafu nyie naona mmefananafanana sana tu kwenye familia yenu!
Mhh, tunasubiri ya kwako, au imeshapita?
JibuFutahongera jack!
JibuFutahongera jack!
JibuFutaasanteni sana marafiki zangu ujumbe umefika kwa Jacky
JibuFutaKwaheri Mshiki
JibuFutaJamani huyu si Herman! Hongera Jacky,nimesoma nae huyu Arusha! Mume umepata mwenyezi Mungu awatangulie!
JibuFuta