Pages

Jumapili, Novemba 21, 2010

Weekend hii tulimuaga dada yangu kipenzi Jacky tayari kwa maandalizi ya ndoa,Kila la heri my sister.

Upande wa kushoto pichani Jacky akisikiliza kwa umakini mawaidha ya wazazi.
Mimi mwenyewe Katika pozi la kufurahia jambo katika sendoff ya Jacky

Katika shughuli yoyote ya Wachaga lazima kuwe na ndafu yaani ilikuwa raha sana

Jacky akitoa shukrani kwa ndugu jamaa na marafiki pembeni ni mume wake mtarajiwa .

Kila la heri dada yangu Mungu akubariki katika safari ya maisha ya ndoa.

Maoni 8 :

  1. nami nakutakia kila la kheri dada Jacky:-)

    JibuFuta
  2. Kila lakheri JackY!

    Halafu nyie naona mmefananafanana sana tu kwenye familia yenu!

    JibuFuta
  3. Mhh, tunasubiri ya kwako, au imeshapita?

    JibuFuta
  4. hongera jack!

    JibuFuta
  5. hongera jack!

    JibuFuta
  6. asanteni sana marafiki zangu ujumbe umefika kwa Jacky

    JibuFuta
  7. Kwaheri Mshiki

    JibuFuta
  8. Jamani huyu si Herman! Hongera Jacky,nimesoma nae huyu Arusha! Mume umepata mwenyezi Mungu awatangulie!

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.