Pages

Jumatano, Januari 12, 2011

Elimu kwanza mambo mengine baadaye,

Nikiwa pamoja na wanafunzi wa Sekondari kutoka kushoto anaitwa Emaculate, Lusi na Abel leo nilikuwa nao studio wakitoa changamoto mbalimbali kwa wanafunzi wenzao kuwa masomo ni kitu cha muhimu sana na unapokuwa shule hutakiwi kuwaza mambo mengine kama starehe nk.unaambiwa soma kwanza mengine yote utayakuta.

Lusi katika pozi ni mwanafunzi wa kidato cha pili. anapenda sana kuwa Enginier ujumbe kwa wenzangu bila malengo huwezi kufanikiwa.

Emaculate  katika pozi mwanafunzi wa kidato cha pili anapenda kuwa Daktari  ujumbe wake anakuambia elimu ni kila kitu tusome kwa bidii

Abel katika pozi mwanafunzi kidato cha nne  anapenda kuwa Acountant ujumbe wake vijana ni muhimu kujitambua ili tuweze kufikia malengo yetu.....

Maoni 3 :

  1. si uwongo ni kweli kabisa. Ahsante Adela kwa ujumbe huu.

    JibuFuta
  2. Education for liberation. Elimu kwanza badala ya kilimo kwanza!

    JibuFuta
  3. Mwanzo mzuri, twawatakia kila-laheri!

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.