Pages

Alhamisi, Januari 27, 2011

Ushungi una raha yake jamani,,,Mdau umejiandaaje na Valentine day kaa mkao wa kula,,

Katika pozi mwenyewe nimejitanda,, nawaahidi mambo matamu msimu huu wa sikukuu ya wapendanao tuendelee kuwa pamoja sana.

Maoni 4 :

  1. Kweli una raha yake, lakini una masharti yake, ili kweli uitwe ushungi...lakini mmmh, mambo huenda yakibadilika, kama ilivyo kwenye taarabu!

    JibuFuta
  2. Mdada umependeza si utani na hilo pozi bombi kwelikweli:-)

    JibuFuta
  3. Asanteni jamani tuko pamoja sana

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.