| Nawatakia mafanikio na baraka tele Mwaka huu mpya tuendelee kuwa pamoja wakati wote |
| Me and my friend Aneth tunawatakia MWAKA WENYE MAFANIKIO TUFANYE KAZI KWA BIDII... |
Alice katika pozi anawatakia Mwaka mpya wenye baraka na ujumbe tufanye kila kitu kwa malengo ili kupata mafanikio.MUNGU AWABARIKI SANA.
Nawe/nanyi pia kheri ya mwaka mpya!!
JibuFutaHeri na wewe pia.
JibuFutaNa wewe pia, natumai sijachelewa, natumai u mzima wa afya wewe na familia yako na umpendaye!
JibuFutaMamy wewe ni mzuri sana, jamani tupe siri ya urembo wako.
JibuFuta