Pages

Jumatano, Machi 16, 2011

Nawashukuru sana wadau kuwa pamoja nami katika kutembelea Blog yangu...tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja zaidi

Naomba radhi kwa kuwa kimya kwa muda kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo ila kwa sasa tutaendelea kuwa pamoja kama kawaida nawapenda sana,,

Maoni 6 :

  1. Tulikumiss na sasa umerudi na tunashukuru karibu sana mwana kwetu:-)

    JibuFuta
  2. Karibu tena Adela!Nilitishika kidogo kwa ukimya!:-(

    JibuFuta
  3. Usihofu da'Adela tuko pamoja..

    JibuFuta
  4. Tupo pamoja Adela, twakutakia majukumu mema, na kutupa vile vitu roho inapenda.Karibu kwetu ...!

    JibuFuta
  5. Pouwa karibu sana Adela katika kijiwe chetu cha kila siku

    JibuFuta
  6. Umekuwa mrembo sana bibie vipi ulienda kujiweka sawa nini?

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.