Tulikumiss na sasa umerudi na tunashukuru karibu sana mwana kwetu:-)
Karibu tena Adela!Nilitishika kidogo kwa ukimya!:-(
Usihofu da'Adela tuko pamoja..
Tupo pamoja Adela, twakutakia majukumu mema, na kutupa vile vitu roho inapenda.Karibu kwetu ...!
Pouwa karibu sana Adela katika kijiwe chetu cha kila siku
Umekuwa mrembo sana bibie vipi ulienda kujiweka sawa nini?
Unakaribishwa kutoa maoni yako.
Tulikumiss na sasa umerudi na tunashukuru karibu sana mwana kwetu:-)
JibuFutaKaribu tena Adela!Nilitishika kidogo kwa ukimya!:-(
JibuFutaUsihofu da'Adela tuko pamoja..
JibuFutaTupo pamoja Adela, twakutakia majukumu mema, na kutupa vile vitu roho inapenda.Karibu kwetu ...!
JibuFutaPouwa karibu sana Adela katika kijiwe chetu cha kila siku
JibuFutaUmekuwa mrembo sana bibie vipi ulienda kujiweka sawa nini?
JibuFuta