| Namshukuru Mungu kwa kunifikisha hapa nilipo kwa mwaka mzima uliopita nimekuwa nikiandika kitabu cha simulizi nzuri za mahusiano kinaelimisha na kusisimua sana na hivi karibuni natarajia kukitoa natumaini tutakuwa pamoja sana wadau,,Namuomba Mungu anizidishie maisha marefu tuendelee kuwa pamoja katika kuelimishana mambo mbalimbali pamoja sana.... |
Warm Birthday wishes to you Adela!
JibuFutaHongera sana kwa siku ya kuzaliwa Adela. Uwe na siku njema na hiyo keki usimalize nakuja wala usifunge mlango....
JibuFutaHappy siku ya kuzaliwa kwako mtu wangu!
JibuFutamaisha marefu.
JibuFutanakutakia maisha marefu.
JibuFutaAde mdogo wangu hongera kwa kutimiza miaka kadhaa be blessed na uwe na furaha cku zote c leo tu love u!!!... unanikumbusha mdg wangu nae aliitwa Adela but we used to call her aunt Ade kwa vile ndo alikuwa wa mwisho kwa wanawake sa watt wote wa kaka na dada wakimwita aunt Ade sore ni nje ya mada but its a feeling.
JibuFutaHappy birthday mdada.
JibuFutaHongera kwa kuongeza namba,Mungu akuongzee mingine mingi yenye baraka na mafanikio!!!!uwe na siku njema.
JibuFutaasanteni sana kwa kuwa pamoja nami tuko pamoja sana friends
JibuFutaWOOw! hongera sana,
JibuFutaifurahie vizuri siku yako ya kuzaliwa mwaya!,
Happy Belated Birthday Adela
JibuFuta