Pages

Jumamosi, Mei 14, 2011

chakula kama chips kuku na chipsi mshikaki inapendeza kula ukiwa umetoka out,weekend njema wadau

muonekano wa Chipsi mishikaki,,napenda sana mishikaki kuliko kuku

mambo ya weekend lol meza inavyoonekana

Domina akifurahia chipsi kuku


 Mwenzangu tomato kwa wingi,, hivi  vyakula ni vizuri kula maramojamoja inawezekana ikawa ni nyumbani au umetoka out,, usifanye mlo huu kuwa mlo wako wa kila siku kwani ni rahisi kuongezeka uzito kwa kasi. nawatakia weekend njema KUMBUKA POMBE SI CHAI

Maoni 1 :

  1. huh da adela hizo chips na kuku duh maute yananimwagika simchezo umenikumbusha home

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.