tag:blogger.com,1999:blog-9161973884895431873.post2805450116163079951..comments2024-03-14T19:07:15.944+03:00Comments on DELLA MEDIA PRODUCTION: SIKILIZA SEHEMU YA TISA NA SEHEMU YA KUMI MWISHO WA SIMULIZI YA DADA POA. FAHAMU NINI MWISHO WA MAISHA YA MANKADELLA KAVISHEhttp://www.blogger.com/profile/06285072222958648213noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-9161973884895431873.post-30430948149244795122013-09-18T15:15:02.946+03:002013-09-18T15:15:02.946+03:00duuuuuu hi kweli ni zaidi ya mateso, simulizi inas...duuuuuu hi kweli ni zaidi ya mateso, simulizi inasikitisha mnoo lakini kilichonifurahisha mlango wa kutokea ulipatikana kama ahadi za MUNGU zilivyo.wanahitajika watu kama Benny kurekebisha watenda mabaya na waonezi <br />Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-9161973884895431873.post-11783867828054285762013-09-18T00:17:54.653+03:002013-09-18T00:17:54.653+03:00Kwanza kabisa pole kwa matatizo,tulisubiri simuliz...Kwanza kabisa pole kwa matatizo,tulisubiri simulizi kwa wiki nzima. Pili tunashukuru sana kwa simulizi zako nzuri zinazofundisha I wish vijana wangekuwa wanatembelea blog yako wangejifunza mengi katika maisha yao ya kila siku. Mungu akubariki sana nasi tunakupenda.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-9161973884895431873.post-83798346477232536862013-09-17T16:34:16.393+03:002013-09-17T16:34:16.393+03:00simulizi imenigusa sana imenifanya niwe nakumbuka ...simulizi imenigusa sana imenifanya niwe nakumbuka maisha yangu ya nyuma nimelia sana na simulizi hii kwa kweli ni nzuri na inafundisha.hongera sana adela kwa simulizi nzuriAnonymousnoreply@blogger.com