tag:blogger.com,1999:blog-9161973884895431873.post3940210430478750137..comments2024-03-14T19:07:15.944+03:00Comments on DELLA MEDIA PRODUCTION: ISOME KWA UMAKINI WASEMAVYO WASOMI "Uchambuzi: Kuondolewa Lowassa ndio mwanzo wa siasa za Ukabila/Ukanda Tanzania DELLA KAVISHEhttp://www.blogger.com/profile/06285072222958648213noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-9161973884895431873.post-53627840838904303282015-07-20T10:14:10.634+03:002015-07-20T10:14:10.634+03:00Masuali anayouliza mwandishi na dukuduku zake ni m...Masuali anayouliza mwandishi na dukuduku zake ni muhimu. Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa, bali naafiki kauli kwamba vyama vifuate taratibu na katiba zao kikamilifu. Hata hivi, kama CCM wanahujumiana, ni tatizo lao, si tatizo la nchi. Ingawa CCM wenyewe wanajiona sana, ni muhimu wakumbushwe kwamba CCM sio nchi na nchi sio CCM.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.com