Je ulishawahi kumfikiria mchumba wako wa zamani ambaye ulikuwa unasoma naye tena mkiwa na mipango mingi kuwa tutafunga ndoa baadae lakini kwa sasa umeolewa au umeoa mtu tofauti,,ni wachache sana kukuta wanatimiza malengo yao,,jamani mapenzi na shule ni mlenda na pilau, vijana wanatakiwa kuwa makini sana kwani inaweza kumsababishia kijana matatizo mengi zaidi hususani kwa mtoto wa kike, mimba za utotoni na kushindwa kufikia malengo yake mazuri katika maisha yake..ni jukumu la wazazi kuzungumza na vijana wao juu ya afya ya uzazi nk,,uwazi ni jambo la msingi kabla mambo hayajaaribika.. |
....labda ni kiherehere chao kwa mujibu wa mkuu wa kaya... :-(
JibuFuta@ Chacha hahahahaha,ok,,lakini ni vizuri sana wazazi na jamii kushirikiana katika hili..wengi wao wanaishia kupata mimba za utotoni
JibuFuta@ ade unalosema ni kweli,vijana wengi wanajiingiza kwenye mapenzi kipindi wakiwa shuleni hasa sekondari. Ambapo kiuhalisia mvulana wala msichana uliyenaye huwezi kumwoa ni kudanganyana. So vijana wanapaswa kusoma kwanza na mengine yatafuata tuu.
JibuFuta