Mchana wa leo nikiwa najipatia chakula cha mchana Kebby Fast food pande za kariakoo chakula ni kitamu sana hapa katika pozi la kuanza kula. |
yaani mmmh hapa siachi kuja chakula kizuri sana |
Hiki ndio chakula nilichokula leo madikodiko ya kutosha ndizi na maini rost na maharagwe kidogo yaani burudani haswa ukiwa na njaa. |
Bidada hapa ambaye ndio muandaaji wa chakula hicho,katika pilika pilika ya kuweka mambo sawa
Kitu cha ugali na dagaa kinavyoonekana. shost wangu Aneth Nyoni anapenda sana mlo huu |
Ukifikandio kama hivyo watu wengi hupendelea kula mchana hapo chakula ni kitamu sana na gharama ni nafuu kabisa.unaweza pita siku moja na kujionea mwenyewe. Aneth Nyoni akijipatia ugali na dagaa,jamani jinyime vitu vingine lakini sio chakula na hakuna asiyependa chakula kizuri na kitamu,na kitengenezwe na mpishi anayefahamu mambo ya maakuli. |
hehehehe yaani mpaka mate yamenitoka kwa hamu ya vyakula unavyokula, mmmmmmmm, mambo ya ndizi daaah raha sana wangu, hapo sehemu inafaa nipatafute kija Dar, kula muhimu na nimefurahi kukuona unakula chakula cha asili, that's gud!!!
JibuFutaDuuuh unanitamanisha mdada.kweli mwili haujengwi kwa matofali.
JibuFuta@Hashir asante polee ukija nitakupeleka @Edna tuko pamoja mpendwa yaani ni kitamu balaa
JibuFutaOhh Adela ndizi chakula asilia!!! lkn mi nnapenda Ugali mhogo na Dagaa, so delicious wangu, inabidi nipite hapo siku moja,. kulivyotulia kama sio kariakoo inayoijua mimi..
JibuFutaloh ugali huo safi sana ......nitakuja.
JibuFutaMakande yapo jamani, siunajua tena, ..nyumbani ni nyumbani! Wewe mtolri...mtori upo? Aaah, aisee halafu hiyo picha nimeiona wakati wa `sasa lunch time..tufunge maduka...tararara... ikifika mwisho wa mwezi....tararara...nani ana huo wimbo?
JibuFutaHapa mie udenda pipa!:-(
JibuFuta@Manace my bro tuko pamoja wewe njoo ujionee mwenyewe@Giga njoo kipenzi utakubali chakula kitamu balaa@Simon hahahaha ok usijali nenda kale wangu
JibuFuta