Alhamisi, Oktoba 07, 2010

Mwanamume kuwa mlevi hadi kujisaidia haja ndogo hapo hapo sio sifa jamani..

Huyu mwanamume amekunywa pombe nyingi hadi  amepoteza fahamu, ulimi umemtoka nje,,huu ni ulevi gani jamani??si kifo hiki,,, ,niliwazungumzia wanawake katika ulevi si vizuri lakini katika hilo jamani linawagusa wote pamoja na wanaume..kwani wengine wanalewa na kuleta tafrani ugomvi,wa hapa na pale,,migogoro katika mahusiano,nk haipendezi unakuta baba mtu mzima mwenye familia inamtegemea amelewa kalala kwenye mtaro,,au bar, na tena mwingine kila siku ndio tabia yake..jamani pombe inaruhusiwa kunyweka, lakini kunywa kwa kiwango...usijisahau...

Maoni 6 :

Lawyer J Bokilo alisema ...

Kila kitu kina kiasi chake kama mtu anaweza kufikia hali hiyo ujue ndoa yake lazima italegalega, maana inaweza kugusa uchumi wa familia hata ndoa yenyewe kwenye uwajibikaji na heshima ya familia nzima. Ni kweli Adela kuna haja ya kuliangalia hilo

o'Wambura Ng'wanambiti! alisema ...

nashukuru kuwa sinywi nyingi...crate moja tu....lol! si inatosha hiyo Adela,ama?

Yasinta Ngonyani alisema ...

Kaazi kwelikweli alifikiri chai?

Simon Kitururu alisema ...

@Kadinali Chacha: :-)

ADELA KAVISHE alisema ...

@Lawyer asante umeonaeeh@Chacha hahahahah kama inakulewesha sana na kujikuta unaaibika bora upunguze,,lakini kama unajiweza its ok@Yasinta yaani wengine wanakufa kutokana na hali kama hizi@Simon tuko pamoja

emuthree alisema ...

Mhh, hivi pombe kunywa hivyo, ni starehe gani,...au ndio huko kujikojolea, au ..najiuliza tu mpendwa.Tupo pamoja.....hatujawasiliana bado, naona upo busy..!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom