Huyu mwanamume amekunywa pombe nyingi hadi amepoteza fahamu, ulimi umemtoka nje,,huu ni ulevi gani jamani??si kifo hiki,,, ,niliwazungumzia wanawake katika ulevi si vizuri lakini katika hilo jamani linawagusa wote pamoja na wanaume..kwani wengine wanalewa na kuleta tafrani ugomvi,wa hapa na pale,,migogoro katika mahusiano,nk haipendezi unakuta baba mtu mzima mwenye familia inamtegemea amelewa kalala kwenye mtaro,,au bar, na tena mwingine kila siku ndio tabia yake..jamani pombe inaruhusiwa kunyweka, lakini kunywa kwa kiwango...usijisahau... |
Kila kitu kina kiasi chake kama mtu anaweza kufikia hali hiyo ujue ndoa yake lazima italegalega, maana inaweza kugusa uchumi wa familia hata ndoa yenyewe kwenye uwajibikaji na heshima ya familia nzima. Ni kweli Adela kuna haja ya kuliangalia hilo
JibuFutanashukuru kuwa sinywi nyingi...crate moja tu....lol! si inatosha hiyo Adela,ama?
JibuFutaKaazi kwelikweli alifikiri chai?
JibuFuta@Kadinali Chacha: :-)
JibuFuta@Lawyer asante umeonaeeh@Chacha hahahahah kama inakulewesha sana na kujikuta unaaibika bora upunguze,,lakini kama unajiweza its ok@Yasinta yaani wengine wanakufa kutokana na hali kama hizi@Simon tuko pamoja
JibuFutaMhh, hivi pombe kunywa hivyo, ni starehe gani,...au ndio huko kujikojolea, au ..najiuliza tu mpendwa.Tupo pamoja.....hatujawasiliana bado, naona upo busy..!
JibuFuta