Tazama mwanamke huyu katika picha anavyompiga mpenzi wake,,du jamani inapotokea matatizo au migogoro katika mahusiano tafuta njia nyingine ya kusuluhisha na sio kupigana. |
Haya tazama jamaa anasoma gazeti huku demu wake akiwa anamzingua kwa maneno,wanawake baadhi wana midomo sana kiasi kwamba hufikia hatua mwanamume kumchoka. |
Duuuh hiyo ngumi balaa kazi kweli kweli,je jamaa akiamua kumgeuzia kibao si ataua. |
Angalia demu alivyokunja ngumi hapa kazi ipo.muhimu tutafute njia nyingine kutatua matatizo kwani hasira hasara,au mnasemaje wadau...... |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni