Jumamosi, Oktoba 23, 2010

Tukumbuke kutumia dustbin za barabarani kutupa taka, ili kuweka jiji liwe safi.

Mazingira yaliyo mengi ya Dar es salaam ukitembea kidogo unakutana na dustbin kama hiyo kwenye picha lakini cha kushangaza inawezekana mtu akaiona na akaamua kutupa uchafu pembeni yake huku akiona kabisa kwamba natakiwa nitupe uchafu kwenye dust bin sasa sijui ni mazoea au  ni nini tustaarabike jamani tukumbuke kutumia dust bin za barabarani na si kuchafua mazingira kwa kutupa taka ovyo.

Mazingira kama haya utakuta dust bin ipo pembeni lakini hali ndio kama inavyoonekana kuna kila aina ya takataka mifuko ya nailoni,makaratasi,makopo ya maji nk..ni muhimu kuzitumia dustbin kwasababu zimewekwa kwa ajili ya kutupa taka.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom