Hapa Alice Kavishe akaona hapana ngoja niweke style kidogo,,kina dada wakati mwingine hupoteza muda mwingi sana katika kujiremba,lakini ndio hali halisi kwamba mwanamke kujiremba hivyo kama una mtoko basi ni vizuri kujiandaa mapema kwani kama kuna mtu anakusubiri kiukweli inaweza kuwa kero kama atakusubiri ukijiandaa kwa masaa mengi wakati yeye ana haraka. |
Mwee! ndo maana Kapulya nimeamua kuwa na rasta. Maana huko kupoteza muda huo muda sina. Haya ijumaa njema nawe pia na msalimie mdogo wetu Alice pia.
JibuFuta@Yasinta asante mwaya tuko pamoja kama kawaida
JibuFutaYasinta: labda umikuwa rasta-lady kwa kuwa u mvuvi...oops...sorry mvivu....lol!
JibuFuta