Pages

Ijumaa, Novemba 05, 2010

Hivii ingekuwa hakuna kula ingekuaje? karibuni tule ugali wa Muogo ndani ya Kebby Fast Food.


Karibuni tule jamani Ugali wa Muogo ni mtamu sana.
Kitu cha Ugali wa Muogo kinavyoonekana na mbogamboga pembeni.


Baada ya kula maji ya kunywa ni lazima yawepo karibu.nawatakia siku njema my friends.

Maoni 7 :

  1. Adela mambo gani hayo ya kutamanishana? hujui wengine mambo hayo tunayona kwenye picha tu? Duuuh unanitamanisha kweli mdada.Haya enjoy yourself.

    JibuFuta
  2. mwili haujengwi kwa matofali,msosi muhimu tena nimeipenda hiyo maana umekamilisha mlo kamili...na we pia weekend njema...

    JibuFuta
  3. Adela unajua kutamanisha mwanadada yaani mate yananidondoka hapa na umenikumbusha nilipokuwa naishi Nyasa-Lundo mweee! ugali wa muhogo na samaki pia matembele na kisamvu we acha tu . Ahsante Adela na siku njema kwako pia

    JibuFuta
  4. 'Kama kungekuwa hakuna kula, na hakuna madhara kama hukula, basi ingekuwa poa sana. Kwani asilimia nyingi ya maradhi husababishwa na tunavyokula, au nimekosea?

    JibuFuta
  5. @Edna hahahah poa wangu@Mauzo kamakawaida umeonaeeh@Yasinta asante mwaya tuko pamoja my dia@ Emu three unayoongeandugu yangu naweza kukubaliana na wewe asanteni enjoy your weekend

    JibuFuta
  6. Kama kungekuwa hakuna kula, kusingekuwa na kifo na kwa hivyo tungeishi milele. Hata Eva alianguka bustanini Eden kwa ajili ya chakula. Na ukiangalia vizuri dhambi karibu zote zinasababishwa na tumbo. Kawaulize mafisadi watakwambia!!!

    JibuFuta
  7. KAMA KUNGEKUA HAKUNA KULA KUNGEKUA HAKUNA KUNYA, HIVYO GHARAMA ZA CHOO ZINGEPUNGUA

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.