Inapotokea migogoro katika mahusiano inawezekana kosa likawa ni la mwanamke lakini akajinunisha ili abembelezwe na wakati mwingine kuna baadhi huwa wanatafuta ugomvi ili mpenzi wake achukie halafu ananuna yeye ili abembelezwe jamani haipendezi hata kama ni utani basi iwe kidogo ukizidi sana unaleta karaha kwani kila siku ukiwa unanuna kwa nia ya kubembelezwa ipo siku mwenzio atachoka yakawa mambo mengine pia wapo wanaume ambao wana tabia kama hii wanapenda kununa hadi wabembelezwe.na kubembelezwa huko ni kwa kupewa zawadi,kunynyekewa, kumtoa out nk. JAMANI MAPENZI NI KUPEANA RAHA NA SI KUNUNIANA INALETA KARAHA INAPOZIDI |
Adela! ni kweli kabisa mapenzi ni kupeana raha, kila nikija hapa nikisoma natoka na kitu. Ahsante Adela:-)
JibuFutakweli kabisa wanaume wengine ukichelewa kumfataa ananuna akikuhitaji wewe uwe tu una mnyenyekea ukichelewa kupokea simu anachukia usipo jibu msg kwa wakati anavimba jamani kuna kazi nyingi za kufanya saa zote si mapenzi badilikeni sio poa kabisa.
JibuFutaaagg mie nilikuwa mtumwa wa mapenzi we acha tu jamani, nilivyokuja kushtuka tu... a salalee he manake nilikuwa km nimefungwa akiili. yani tukitoka may b tulale hukohuko basi jamaa mid9t anaanzisha valangati, mara anavaa anataka kuondoka, basi naanza kumbembeleza, mara napigwa,ckku ya cku c anasema alikuwa anatishia tu, akija kwangu k2 kdg ananuna anatishia kuondoka naangaika kufunga milango ili asiondoke. cku moja bana akatishia mie kimya nikashangaa yupo, katishia tena na mlango nikamfungulia he m2 akaganda. toka cku hiyo bana czinguliwi tena. kwa hiyo sam tym tunapenda wenyewe tu. ukijiamini wala haktishi m2
JibuFutajamaa wengine hata kubembeleza hawajui jamani, hasa walio ktk hali mbaya kiuchumi wako inferior always. wahiii....
JibuFuta