Pages

Jumatano, Desemba 29, 2010

mapenzi hayana uzee jamani........

"nilishe nikulishe ishara ya upendo" Nimeipenda sana hii picha,,jamani  kudumu katika mahusiano na kuwa na furaha hadi uzeeni inapendeza sana na inawezekana Kuwa muaminifu na mwenye malengo katika uhusiano ulionao

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Unakaribishwa kutoa maoni yako.