Pages

Jumanne, Desemba 28, 2010

My sweety colour 2010 lady in blue inapendeza sana....





Kuwa mbunifu kuchagua nguo na rangi nzuri kuendana na wakati

Maoni 6 :

  1. wacha weee umependeza mdada na rangi ni nzuri sana.

    JibuFuta
  2. Yetu macho tu umependeze vibaya bin kichizi mdada weee mwaaahhh..!!

    JibuFuta
  3. Adela ni kweli hiyo rangi imekupendeza haswaaa. Ila mwenzio sina hata nguo moja ya rangi hiyo umenitamanisha ngoja nitafute labda itanikaa...LOL

    JibuFuta
  4. Adela nimegundua kwenye picha zako mara nyingi hatukuoni shavu la kushoto!:-(

    Umependeza mdada!

    Ukiniuliza mimi nitadai wewe bomba la mzuri!:-(

    JibuFuta
  5. asanteni sana my friends tukopamoja wakati wote

    JibuFuta
  6. U look so mwaaaaaamwaamwaaaaaaaa when u put on blue, u me pe nde za

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.