![]() |
wapenzi wakifurahi baada ya kuvishana pete ya uchumba kiukweli inapendeza na ni wengi tunatamani kufanyiwa hivi lakini ni muhimu kujipanga usikurupuke kwani furaha inaweza kuja kuwa kilio |
![]() |
wapenzi wakifurahi baada ya kuvishana pete ya uchumba kiukweli inapendeza na ni wengi tunatamani kufanyiwa hivi lakini ni muhimu kujipanga usikurupuke kwani furaha inaweza kuja kuwa kilio |
jamani dada adeladallykavishe.mimi ni mpenzi sana ya glob yako yaani haipiti siku bila kukutembelea sasa niko nje ya mada kidogo naomba unijuze ule wimbo kingereza ulioibwa wakati wamaombolezo ya amina chifupa wa mwanamuziki kutoka marekani alikuwa ni mwanamziki gani?pls naomba mnijuze wapedwa
JibuFutani kweli wengi wanavisha pete ili tu aendelee kukuchezea, mm ktk hilo niko mjanja mwenzenu inahuu kuvaa pete miaka nenda rudi. tena pete yenyewe akakuvalishie bar, guest, beach nk. wawili tu au na mijamaa na mashost.
JibuFutakuweni wajanja jamani