Inapendeza kuona mazingira ya jikoni yakiwa katika hali ya usafi kama hivi na haijalishi jiko lako ni la kifahari au sio la kifahari ni lazima liwe katika mazingira ya usafi wakati wote,epuka kulaza vyombo vichafu jikoni,safisha sakafu ya jiko na sehemu zilizojificha kama ndani ya kabati nk.hakikisha unapomwaga kwa bahati mbaya chai,chakula au kinywaji chochote katika meza ya jikoni unafuta mara moja na kuiacha meza yako ikiwa safi |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.