| Duuuh, nilikuwa makini ile mbaya kuhakikisha kila kitu kinachofundishwa nakielewa kwa faida yangu na kampuni. Mpango mzima ulikuwa ukifanyika Mwanza Hotel |
| Mr Hilaly Sadala, mmoja wa wafanyakazi wa Passion FM, akisoma gazeti wakati wa mapumziko ya mafunzo hayo. |
| Mr Philipo Daud na Bi Eunice Kanumba ni wafanyakazi wa Passion FM wakiwa katika pozi wakati wa mafunzo hayo ya TMF. |
| Niko makini kuhakikisha elimu hii pia inakufikia wewe kwa njia ya Passion Fm kupitia kipindi kipya kitakachokujia hivi karibuni.....kitakuwa hot ile mbaya mtu wangu |
| Huyu ni Mr Abdallah Majura mwandishi wa habari mkongwe, akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo |
| Kama unavyojua kazi na dawa.....huu ni moja ya mlo tuliokuwa tukipata hasa mida ya jioni baada ya lunch. |
| Hiii ndiyo lunch sasa.....asikwambie mtu kitu cha wali na kuku |
| Licha ya samaki kuniangalia....... nilimtafuna bila huruma, si unajua kitu cha samaki? ndani ya Jiji la mawe....sato nje nje |
| Bi Devota Sotel mfanyakazi wa Passion FM akisikiliza kwa umakini mafunzo ya TMF |
| Hawa ni baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakipata chakula cha mchana pamoja na wawezeshaji |
Maoni 2 :
Adela we mbaya kweli kuonyesha vyakula kama hivyo kihivyo. Hujui kama wengine tunaudhaifu sana wa samaki?:-( Haya mdada kila la kheri na haya mafunzo...
Kila la kheri!
Chapisha Maoni