Pages

Jumatano, Desemba 08, 2010

Wapendwa, niko Mwanza kuhudhuria mafunzo yaliyoandaliwa na Tanzania Media Fund (TMF) na kuwashirikisha wafanyakazi wa Passion FM.

Duuuh, nilikuwa makini ile mbaya kuhakikisha kila kitu kinachofundishwa nakielewa kwa faida yangu na kampuni. Mpango mzima ulikuwa ukifanyika Mwanza Hotel

Mr Hilaly Sadala, mmoja wa wafanyakazi wa Passion FM, akisoma gazeti wakati wa mapumziko ya mafunzo hayo.

Mr Philipo Daud na Bi Eunice Kanumba ni wafanyakazi wa Passion FM wakiwa katika pozi wakati wa mafunzo hayo ya TMF.

Niko makini kuhakikisha elimu hii pia inakufikia wewe kwa njia ya Passion Fm kupitia kipindi kipya kitakachokujia hivi karibuni.....kitakuwa hot ile mbaya mtu wangu

Huyu ni Mr Abdallah Majura mwandishi wa habari mkongwe, akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo

Kama unavyojua kazi na dawa.....huu ni moja ya mlo tuliokuwa tukipata hasa mida ya jioni baada ya lunch.

Hiii ndiyo lunch sasa.....asikwambie mtu kitu cha wali na kuku


Licha ya samaki kuniangalia....... nilimtafuna bila huruma, si unajua kitu cha samaki? ndani ya Jiji la mawe....sato nje nje
Bi Devota Sotel mfanyakazi wa Passion FM akisikiliza kwa umakini mafunzo ya TMF

Hawa ni baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakipata chakula cha mchana pamoja na wawezeshaji

Maoni 2 :

  1. Adela we mbaya kweli kuonyesha vyakula kama hivyo kihivyo. Hujui kama wengine tunaudhaifu sana wa samaki?:-( Haya mdada kila la kheri na haya mafunzo...

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.