Pages

Ijumaa, Januari 07, 2011

Itumie weekend kwa kuwa karibu na umpendaye au pamoja na familia yako,,


Inapendeza kuwa na umpendaye weekend mkifurahi pamoja.

vilevile kama familia kukaa pamoja au kutoka pamoja kuifurahia weekend

kula na kunywa pamoja na mpenzi

kuwa pamoja  ufukweni na umpendaye,,,Ni muhimu kupata muda wa kufurahi na umpendaye...weekend njema wadau

Maoni 2 :

  1. Pamoja Daima...mwisho wa juma mwema nawe pia!!!

    JibuFuta
  2. Sawa tutafanya hivyo weekend njema mdada.

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.