![]() |
| Inapendeza kuwa na umpendaye weekend mkifurahi pamoja. |
![]() |
| vilevile kama familia kukaa pamoja au kutoka pamoja kuifurahia weekend |
![]() |
| kula na kunywa pamoja na mpenzi |
![]() |
| kuwa pamoja ufukweni na umpendaye,,,Ni muhimu kupata muda wa kufurahi na umpendaye...weekend njema wadau |




Pamoja Daima...mwisho wa juma mwema nawe pia!!!
JibuFutaSawa tutafanya hivyo weekend njema mdada.
JibuFuta