Shakira na Pique kama wanavyoonekana wana uhusiano wa kimapenzi ambao sasa umewekwa wazi kwa kutolewa picha za wawili hao katika vyombo vya habari na ikichukuliwa kuwa Barcelona na Real Madrid ni watani wa jadi ,inaelezwa kuwa klabu hiyo ya Blancos imeamua kutotoa nafasi ya nyimbo za nyota huyo mwenye umri wa miaka 34 kupigwa kwenye uwanja wake,taarifa kutoka katika vyombo vya habari zinadai kuwa hakuna wimbo wowote wa mwanamuziki huyo utapigwa katika uwanja huo kabla ya mechi. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.