Pages

Jumatano, Juni 08, 2011

Ubunifu katika maeneo mbalimbali huongeza mvuto katika mahusiano

Unaweza kufanya hivi kwa kutumia tunda la tikiti maji na kumpa mpenzi wako

Haya ni baadhi ya maneno matamu ambayo unaweza kuyatumia kwa wakati tofauti kumuambia yule umpendaye



Ubunifu ni kila kitu katika mapenzi

Maoni 2 :

  1. asante kwa maneno mazuri adela ama kweli huongeza chachu ya penzi

    JibuFuta
  2. jamani wengine hata uwaambie maneno gani hawaridhiki, yaani mtu unafanyia kila kitu lakini bado anakuumiza

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.