Pages

Jumanne, Juni 28, 2011

Wadau naomba radhi kwa kutokuweka mambo mbalimbali kwa muda kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo

Nachukua nafasi hii kuomba radhi kwa wadau wangu na pia kuwashukuru kwa kuendelea kuwa nami kupitia blog yangu nilikuwa katika matatizo yaliyo nje ya uwezo na hivyo kushindwa kuweka mada mara kwa mara kwa sasa tutaendelea kuwa pamoja kama kawaida naomba tuendelee kuwa pamoja wakati wote nawapenda sana.

Maoni 3 :

  1. Cha muhimuu ni kuwa umerejea, pole na yote, yaliyokuwa juu ya uwezo wako...TUPO PAMOJA!

    JibuFuta
  2. Pole kwa yote na karibu tena!

    JibuFuta
  3. pamoja sana Adela endelea kutuwekea mambo mazuriyakuelimisha nakukubali sana

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.