Dk. Paul Nelson wa Kliniki ya afya ya mapenzi kutoka jijini Mwanza akiwa na mtangazaji wa Passion fm Anneth Nyoni katika kipindi cha The Big Show ambapo amezungumzia namna ambavyo mtu anaweza kulinda uaminifu katika mahusiano ya kimapenzi, Katika mahusiano ili kulinda uaminifu ni muhimu kujitambua na kumtambua mwenza wako katika mambo mbalimbali likiwemo suala la kuwa muwazi kwenye kila eneo.
Imekuwa ni kawaida kwa baadhi ya watu kuona kwamba uaminifu upo kwenye tendo la ndoa pekee kwa mfano usaliti wa mapenzi lakini ikumbukwe kwamba uaminifu unaangalia sehemu nyingi likiwemo suala la umiliki wa mali,kuzingatia ahadi, kutokuwa muongo, nk. Hivyo ni muhimu kulinda uaminifu ili kuwa na uhusiano ulio na furaha wakati wote. |
nakitafuta sana hicho kitabu
JibuFutauaminifu ni kila kitu katika mahusiano nahitaji hicho kitabu
JibuFutaI think this is one of the most important information for me. And i am glad reading your article. But should remark on few general things, The website style is perfect, the articles is really nice
JibuFutaTukumbuke pia BINADAMU ni kiumbe complicated. Si kila kifanyacho kazi kwa mwenzio kitafanya kazi kwako hata kama hicho ni jinsi ya kuchezea kiharage.
JibuFutaKwa hiyo kumbuka WEWE ni wewe na soma vitabu hasa vya ushauri huku ukijikumbuka kuwa labda utafiti wa kitabu hicho haukufanywa kwa kuzingatia yako na au tu WEWE!
Nawaza tu kwa sauti!