Pages

Jumanne, Septemba 27, 2011

macho huonyesha hisia katika mapenzi

unaweza kuwa na hasira,,mawazo,,ama furaha na macho yako yakaonyesha ishara bila kificho lakini pia katika suala zima la mapenzi hisia huonekana machoni





yapende macho yako wakati wote na pia tumia macho yako kufahamu hisia za mapenzi ya mwenza wako

Maoni 9 :

  1. Habari za siku.
    Kama mwanablogu kutoka Tanzania,nakuomba kushiriki kuchangia Mchakato wa KUFUFUA JUMUWATA(Jumuiya ya Wanablogu Tanzania).

    Tafadhali naomba ufungue hii kurasa ya
    http://blogutanzania.blogspot.com/
    kisha upendekeze jinsi ya kufufua JUMUWATA.
    Ahsante
    Luiham Ringo.

    JibuFuta
  2. Adela unajua umetoa siri yako hapo kiduchu!

    Vaa miwani ya jua basi siku nyingine ukitaka MTU asistukie unamfikiriaje!:-)

    JibuFuta
  3. anti una macho mazuri sana hongera kwa hilo

    i luv u sana tuuuuuuuuuuuuuu

    JibuFuta
  4. shost we mrembo sana

    JibuFuta
  5. Mimi nakupenda sana wewe na macho yako yameniumiza sana na hapa nilipo nasaka mahali ulipo ili nije kuongea nawe

    JibuFuta
  6. asanteni sana wadau pamoja sana

    JibuFuta
  7. namimi ni mmojawao aliyeumizwa{vutiwa na machoyako}kweli mungu kaumba viumbe wake atakavyo pia nawapongeza wazazi wako waliokuzaa na kukulea vizuri ubarikiwe sana kweli umzuri sana tena sana

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.