Pages

Jumatatu, Oktoba 17, 2011

Album yetu ya leo

Alice kavishe katika pozi

miwani ni mizuri ukijipatia kuivaa

miwani ya jua haipendezi kuvaa usiku

pamoja sana wadau ni matumaini yangu weekend ilikuwa poa na kwenu

Maoni 5 :

  1. umetoka chicha mdada asante kwa kutuonyesha albamu hii.

    JibuFuta
  2. mmependeza sana mwaya

    JibuFuta
  3. Adela we wa ukweli mwenzangu nakuaminia sana na kazi yako naikubali

    JibuFuta
  4. daah nice album my dear u guys looking good mkivaa miwani

    JibuFuta
  5. Pendeza sana na wengine mpaka majaribuni kikutokwa denda tumeingia!:-(

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.