Pages

Ijumaa, Novemba 18, 2011

Nawatakia weekend njema wadau wangu

katika pozi la kiafrika zaidi nikiwa kama natafakari jambo nawatakia weekend njema nawapenda sana ujumbe USIOGOPE KUJARIBU KUFANYA JAMBO FULANI LA MAFANIKIO NI MUHIMU KUJIAMINI NA KUTHUBUTU  .

Maoni 7 :

  1. Hakika Adel kweli hilo ni pozi la kiafrika kwelikweli maana umetoka chichaaaa. Ahsante kwa ujumbe mwana kwetu..uwe salama nawe pia:-)

    JibuFuta
  2. Nashukuru na wewe pia

    JibuFuta
  3. jamani Adela wewe ni mzuri sana mimi naitwa Leah John unazidi kupendeza shost tulikuwa wote Arusha hongera mwaya

    JibuFuta
  4. weekend njema mama Africa

    JibuFuta
  5. asanteni sana friends ni matumaini yangu weekend ilikuwa poa

    JibuFuta
  6. Wewe dada unanipa wakati mgumu sana kila nikiingia blogini mwako maana una sura nzuri halafu macho yako yananitongoza sana.

    Ningekuwa bongo hakika ningefika machoni pako niongee hata mawili matatu maana du!!

    Hongera sana kwa kuumbwa mrembo.Hata nashindwa kujua kama umeolewa au una mtu au hapana?Nitakuandikia maana hapa ni pa kuku wengi hutanijibu.

    JibuFuta
  7. jamani ADELA mbona wewe ni mzuri sana. kwanza unakaa wapi?

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.